Malaika
(Intro)
Uuwo uweeee... uwoo mama.
Sema malaika... heya... nakupenda wee.
(Chorus)
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika
(Verse 1)
Nami nifanyeje
Kijana mwenzio x 2
Furaha moyoni napo kutia machoni
Si utani angel kwako niko hoi x 2
Nashindwa na mali mi sina wee
Ningekuoa malaika x 2
(Chorus)
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika x 2
(Verse 2)
Kidege kukuwaza wee kidege
Ohoo kidege kukuwaza wee kidege
Usiku silali mawazo mengi darlin'
Nawaza ningekua na hiyo mimali
Nikakulipia mali nikawa nawe mwali
Nadhani mambo mengi kwangu yange kua swari
Nashindwa na mali mi sina wee
Ningekuoa malaika x 2
(Chorus)
Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika x 2
(Verse 3)
Pesa pesa zasumbua roho yangu
Mi nasema pesa pesa...
Zasumbua roho yangu
Uzuri wako malaika
Unanifanya nipagawe malaika
Kila napokuona malaika...
Nabaka nahangaika malaika wewe
Ohoo Owuooh
Malaika... Eeh nakupenda malaika
Malaika... Ooh nakupenda malaika wewe
Malaika... Heya nakupenda nakupenda wewe
Malaika... nakupenda malaika
Nakupenda wewe
Nakupenda wewe
Nakupenda wewe... til fade.
En Popüler Şarkı Sözleri
- Michael Buble - L.O.V.E. (Türkçe Çeviri)
- Modern Talking - Cheri Cheri Lady (Türkçe Çeviri)
- Ferdi Tayfur - Bana Sor
- Def Leppard - Pour Some Sugar On Me
- Shakira - Whenever, Wherever (Türkçe Çeviri)
- Ankaralı Coşkun - Ankara'nın Bağları
- Lady GaGa - Bad Romance (Türkçe Çeviri)
- Michael Buble - It's A Beautiful Day (Türkçe Çeviri)
- Neşet Ertaş - Yolcu
- Billie Eilish - Happier Than Ever (Türkçe Çeviri)
- Neşet Ertaş - Haydar Haydar
- Queen - We Will Rock You (Türkçe Çeviri)
- Ahmet Kaya - Şiire Gazele
- Haluk Levent - Haydar Haydar
- Müslüm Gürses - Yağmur Duası
- Gökhan Türkmen - Rüya
- Amy Winehouse - You Know I'm No Good (Ghostface Killah Remix)
- Ahmet Selçuk İlkan - Aşk Kitabı
- Ais Ezhel - Deme Boşver
- Cengiz İmren - Ben Aşka Geldim